PICHA ZA KINANA NJOMBE.



1. Maelfu ya wananchi wakimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahma Kinana (chini ya bendera) alipowasili leo Machi 31, 2013, kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Wangong'ombe, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, na kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe. (Picha na Bashir Nkoromo)
2. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua tofali kwenye ujenzi wa zahanati ya Samaria, Kata ya Makoga Wilaya ya Wangong;'ombe alipopita eneo hilo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, na kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe. (Picha na Bashir Nkoromo)

 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA