RAIS KIKWETE AWASILI JAPAN KUHUDHURIA MKUTANO WA 5 WA TICAD

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (kulia)  akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Narita,Japan kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa tano wa (TICAD) unaofanyika katika mji wa Yokohama.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Japan Bibi Salome Sijaona. Picha na Freddy Maro.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.