TIGO TWITTER LIVE CHAT WITH MILLARD AYO


Tigo Tanzania,24 Mei 2013:Kwa mara nyengine tena Kupitia  huduma mpya ya Tigo ya  ‘Tigo Twitter Live Chat forum’, wateja wamewezesha kuchati na staa wao Millard Ayo  kupitia ukurasa wa Twitter wa Tigo.Mashabiki wa Millard Ayo walipewa fursa ya kuchati moja kwa moja nae ikiwa ni pamoja na kumuuliza maswali ambapo aliyajibu papo hapo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.