MSHINDI WA MIL 100 WA PROMOSHENI YA VODACOM MAHELA AFUNGUA AKAUNTI NMB
Benki ya NMB imemkaribisha  mshindi wa milioni 100 wa Vodacom MAHELA , Bwana  Valerian Nickodemus kwa kumfungulia akaunti na kujitolea kumpa mafunzo ya ujasiriamali na matumizi sahihi ya fedha  ili kumwezesha kuwa na matumizi yenye tija katika maisha yake.

MshindiwashilingiMilioni 100 katikapromosheniya Vodacom MAHELA, Bw. Valerian Nickodemus (kati) akifurahi pamoja na  Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB, Abdulmajid Nsekela(kushoto) na Mkuu wa chapa na Mawasiliano wa Vodacom, Kelvin Twisa baada ya kukabidhiwa fedha hizo.

MshindiwashilingiMilioni 100 katikapromosheniyaVodacom MAHELA,Bw. Valerian Nickodemus (kati) akikabidhiwa kadi yake ya NMB ATM na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB, Abdulmajid Nsekela(kulia) baada ya kufungua akaunti katika benki ya NMB. Akishuhudia ni Mkuu wa Chapa na Mawasiliano wa Vodacom,  Kelvin Twisa.

MshindiwashilingiMilioni 100 katikapromosheniya Vodacom MAHELA, Bw. Valerian Nickodemus(kati) akimshukuru Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa NMB, Abdulmajid Nsekela(kulia) baada ya kukabidhiwa kadi yake ya NMB ATM, akishuhudia ni Mkuu wa Chapa na Mawasiliano wa Vodacom Kelvin Twisa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.