NMB YAZIDI KUWA BEGA KWA BEGA NA WANAHABARI

viewer
Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa Straton Chilongola akimkabidhi Rais wa Tanzania Press Club Keneth Simbaya mfano wa hundi yenye thamani ya shilling million mbili (2.5M/=).Makabidhiano haya yalifanyika katika hafla ya kuchangisha fedha za kununua mashine za kudurusu (print)magazeti kanda ziwa ili kupunguza ucheleweshwaji wa kazi zao kutoka Dar es salaam.Kwanza kulia ni Josephine Kulwa, Meneja Mawasiliano NMB na kwanza kushoto ni mwenyekiti wa Press Club kanda ya ziwa Deus Bugaywa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.