NMB YASHIRIKI MAONYESHO BUNGENI

Waziri wa Nchi ya Ofisi ya Waziri mkuu (Sera,Utaratibu na Bunge)William Lukuvi akipata maelezo kutoka kwa ofisa wa benki ya NMB  Diana Kimaro mara alipotembelea banda la NMB katika maonyesho yanayoendelea kwenye viwanja vya Bunge.
Mbunge wa Viti Maalum, Mh. Zainabu Vulu akipata maelezo kutoka kwa Meneja Huduma za Ziada, Alluthe Nungu wakati walipotembelea banda la NMB.
Baadhi ya maofisa wa benki ya NMB waliopo kwenye maonyesho ya taasisi za kifedha mjini Dodoma.
Ofisa Uhusiano wa NMB, Doris Kilale (wa pili kushoto) akitoa maeleza kwa mbunge wa viti maalum, Mathew Mlacha na Mbunge wa Busega, Titus Kamani  juu ya huduma mbambali zinazotolewa na benki ya  NMB.

Na Mwandishi Wetu

Benki ya NMB inashiriki maonyesho ya huduma za kibenki yanayoendelea katika viwanja vya Bunge mkoani Dodoma. Lengo la maonyesho hayo ni kuelezea huduma mbali mbali zitolewazo na benki ya NMB kwa wateja wake.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.