PINDA AFUNGUA SEMINA YA YA MTANDAO WA WABUNGE APNAC
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha Tuzo ya heshima
aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Mtandao wa wabunge wa mabunge wa Afrika wa
kupambana na rushwa APNAC ili kutambua mchango wake katika kupambana na rushwa.
Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye semina na SPNAC iliyofunguliwa na Waziri
Mkuu kwenye ukumbi wa Afrian Dream mjini Dodoma Juni 14, 2013. Kushoto ni Spika
wa Bunge Anne Makinda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Spika wa Bunge
Anne Makinda (katikati) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utawala Bora, Gerge
Mkuchika baada ya kufungua semina ya Mtandao wa wabunge wa mabunge wa Afrika wa
kupambana na rushwa APNAC iliyofunguliwa na Waziri Mkuu kwenye ukumbi wa Afrian
Dream mjini Dodoma Juni 14, 2013. Kushoto ni Spika wa Bunge Anne Makinda.(Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais, Utawala Bora, George Mkuchika baada ya kufungua semiana ya Mtandao wa
Wabunge wa Afrika waanaopambana na Rushwa APNAC kwenye ukumbi wa Afrian Dream
mjini Dodoma Juni 14, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jaji Kiongozi,
Fakih Jundu (kakatikati) na Mbunge wa Mkanyageni, Mohamed Habib Mnyaa baada ya
kufungua semiana ya Mtandao wa Wabunge wa Afrika waanaopambana na Rushwa APNAC
kwenye ukumbi wa Afrian Dream mjini Dodoma Juni 14, 2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu
Waziri wa Habari , Vijana na Michezo, Amos Makala kwenye viwanja vya Hoteli ya
African Dream mjini Dodoma Juni 14, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments