TANGA BEACH RESORT YATUNUKIWA TUZO YA DHAHABU NCHINI MAREKANI.

 Rais  wa shirikisho la kiuhamasishaji wa kibiashara za hotel za kimataifa Bw. Jose Prieto akimakabidhi tuzo ya dhahabu meneja mkuu wa Tanga Beach Resort Bw Joseph Ngonyo, kama ishara ya kutambua huduma bora zenye hadhi ya kimataifa zitolewazo na hotelhiyo iliyoko jijini tanga.
 
 Meneja mkuu wa Tanga Beach Resort Bw Joseph Ngonyo akiwa mwenyefuraha mara baada ya kukabidhiwa tuzo ya dhahabu ikiashirilia huduma bora zitolewazo na Tanga Beach Resort, hafla hiyo ilifanyika hivi karibuni jijini new York marekani.
 Baadhi ya wawakilishi mbalimbali kutoka nchini 52 duniani wakishuhudia zoezi la utoaji wa tuzo wa utoaji wa huduma za hotel nzenye hadhi ya kimataifa, ambapo Tanzania iliwakilishwa vema na tanga beach resort, iliyoko jijini tanga.

Rais wa shirikisho la biashara za hotel za kimataifa, bw jose preito akimpongeza meneja mkuu wa tanga beach resort bw joseph ngonyo muda mfupi baada ya kumaliza kwa hafla za utoaji wa tuzo, tanga beach resort ilijipatia tuzo ya utoaji wa huduma bora za hotel zenye hadhi ya kimataifa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.