TCRA KANDA YA MASHARIKI WATOA SEMINA YA MAWASILIANO KWA WADAU WAO WILAYANI BAGAMOYO

 Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk. Raynold Mfungahema,akionyeshwa na  Rajabu Husein ujumbe kwenye simu yake  wakati  alipokuwa akitoa mada  ya haki  na wajibu wa watumiaji  wa huduma za mawasiliano  katika semina  ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani. Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki.
 Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema,akimsikiliza mmoja wa wanasemina waliohudhuria   katika semina  ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowalenga  wawakilishi ,jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vyaWilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki.Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahmedi Kipozi  akisalimiana na Ramadhan Said  wakati wa uzinduzi rasmi wa semina ya  wadau wa huduma za Mawasiliano  iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.semina hiyo ilialiandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki.
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahamed Kibozi  akihutubia wakati wa uzinduzi rasmi wa semina ya  wadau wa huduma za Mawasiliano  iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.aliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki  hivi karibuni.Katikati ni Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano wa TCRA, Dk.Raynold Mfungahema na Kushoto ni Meneja wa Kanda ya Mashariki Mhandisi Oscar Mwanjesa.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Mhandisi Oscar Mwanjesa akimkabidhi  zawadi  ya simu  Mwanahamisi Muhamed baada ya kujishindia wakati wa semina ya watumiaji wa Mawasiliano  (wadau) iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki. 
 Meneja wa Kanda ya Mashariki wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Oscar Mwanjesa (kulia), akimkabidhi zawadi ya  King’amuzi  cha Digtek,  Ofisa Tarafa Chalinze, Mary Koha baada ya kujibu swali kwa ufasaha wakati wa semina  ya watumiaji wa huduma za mawasiliano iliyofanyika katika chuo cha sanaa cha Bagamoyo kwa kuwashilikisha wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya hiyo. 
 Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ahamed Kibozi  (kushoto) akifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa.Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano Dk.Raynold Mfungahema akitoa mada ya Haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo.
 Afisa wa Idara ya Posta wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, Cecilia Sylvester, akitoa mada juu ya mfumo mpya wa anuani za posta wakati wa semina ya wadau wa huduma za Mawasiliano.Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Patrice Lumumba akitao zawadi ya simu kwa mmoja wa wasshiriki wa semina ya   wadau wa huduma za Mawasiliano  iliyowalenga wawakilishi wa jumuiya mbalimbali za vijiji na vitongoji vya Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.aliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzanizi(TCRA ) Kanda ya Mashariki  hivi karibuni.Kaimu Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Fredrick Ntobi akitoa mada inayohusiana na  utangazaji.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Mhandisi Oscar Mwanjesa akimkabidhi  zawadi  ya simu  Ramadhani Said (76)  baada ya kushinda  kujibu swali  wakati wa semina ya watumiaji wa huduma za Mawasiliano (wadau) iliyowashirikisha wakazi wa Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.Semina hiyo iliandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

YANGA SC WAANZA KAZI AFRIKA LEO…WANAKIPIGA NA U.S.M. ALGER SAA 4:00 USIKU ALGERIA

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

KWA HERI KAMANDA WETU ABBAS KANDORO