MJI WA IRINGA SASA FOLENI KAMA DAR


 Mji  wa  Iringa  waendelea  kukua  kwa  kasi kubwa na  kwa sasa foleni ya magari kubwa kama  ilivyo jijini Dar ,Arusha  ,Mwanza na  Mbeya  ongezeko  hili  la  magari  ni tosha mji wa Iringa unapaswa  kutangazwa  kuwa  jijini ama miundo mbinu yake  kuboreshwa zaidi  kwani  iwapo  utachelewa  kwenda kazini kwa  sasa Iringa ukitokea  Kihesa ama Ipogolo foleni yake  yaweza  kupelekea kuchelewa kabisa shughuli zako japo ni kero ila kwetu  wenyeji ni maendeleo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.