MAPOKEZI YA RAIS OBAMA DAR

 Rais Baraka Obama akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumlaku Ikulu, Dar es Salaam.Kulia ni mwenyeji wake Rfais Jakaya Kikwete.
 Rais Barack Obama wa Marekani na mwenyeji wake, Rais Jakaya Kikwete, wakicheza ngoma ya matarumbete, wakati alipowasili uwanjani hapo.
 Ndege iliyombeba Rais wa Marekani, Barack Obama (AIR FORCE ONE), ikiwa imetua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es SDalaam Julai Mosi, 2013.
 Mke wa Obama, Michelle na mwanawe Malia wakiteremka kwenye ndege, Dar es Salaam.
 Mke wa Rais wa Marekani, Barrack Obama, Michelle, akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar, wakati rais huyo, mkewe na wanawe, Sasha na Malia walipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana kuanza ziara ya siku mbili nchini. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)
 Walinzi wa usalama wa Rais wa Marekani, Barrack Obama, wakiwa juu ya paa la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana, wakiangalia usalama, wakati rais huyo alipowasili uwanjani hapo
 Bendera za mataifa ya Tanzania na Marekani zikipepea juu ya paa la Ikulu, sambamba na bendera ya rais wa Tanzania.
 Baadhi ya akinamama wakicheza kwa furaha huku wakiwa wamevalia vitenge vyenye picha ya Obama wakati wa mapokezi ya Rais wa Obama alipowasili Ikulu, Dar es Salaam
 Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle Obama wakisalimiana na wananchi waliofika kumlaki Ikulu, Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni .Mama Salma Kikwete. Aliyevaa miwani katikati ni Rais Jakaya Kikwete.
 Mke wa Obama, Michelle akisalimiana na wananchi Ikulu, Dar es Salaam.
 Rais Jakaya Kikwete (kulia) akifurahi baada ya Barack Obama kuwasili Ikulu, Dar es Salaam.
 Rais Barack Obama (wa pili kulia) na Mkewe, Michelle wakipungia mikono pamoja na Rais Jakaya Kikwete na Mama Kikwete baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam Julai Mosi, 2013.

Rais Barack Obama (kushoto) akijibu swali lililoulizwa na mwandishi wa habari wa gazeti hili, Peter Ambilikile (hayupo pichani) wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Ikulu, Dar es Salaam. Kulia ni Rais Jakaya Kikwete.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.