MBUNGE LEDIANA MAFULU MNG'ONG'O ATIMIZA AHADI YAKE AKABIDHI TSH MILIONI 1 MUFINDI

 Mkuu  wa wilaya ya  Mufindi Evarista  Kalalu (kushoto) akimpongeza  mbunge wa  viti maalum mkoa  wa Iringa Lediana  Mafulu  Mng'ong'o kwa  kutimiza ahadi yake ya  Tsh milioni 1 aliyoitoa wilayani Mufindi  kwa ajili ya  kusaidia maendeleo ya ujenzi  wa Hosteli ya wasichana Kingege kata ya Malangali wilaya ya Mufindi  wanaoshuhudia ni mwenyekiti wa Halmashauri ya  Mufindi Peter Tweve na afisa habari mkoa  wa Iringa Denis Gondwe
 Hapa mkuu  wa wilaya ya  Mufindi Evarista  Kalalu  akionyesha  kitita  cha Tsh milioni 1  kilichotolewa na mbunge Mng'ong'o kwa ajili ya  kuunga mkono  jitihada za kumsaidia mtoto wa kike  Kielimu  wilaya  ya Mufindi , kweli wabunge  wengine  wanapaswa  kuiga mfano huu  wa  kutumia mavuno ya  bungeni kusaidia  elimu watoto wa kike
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mufindi akimkabidhi mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mufindi fedha  hizo .

................Habari kamili itakujia mapema leo.......

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.