MKUTANO WA WAJUMBE WA BARAZA LA KATIBA LA TASNIA YA HABARI KANDA YA DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa mkutano wa wajumbe wa Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari Kanda ya Dar es Salaam, Allan Lawa akiongoza mkutano wa kuichambua na  kutoa mapendekezo ya jinsi ya kuboresha Rasimu ya Katiba ya Tanzania, Ubungo Plaza, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga
 Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari Kanda ya Dar es Salaam, wakiwa katika mkutano wa kuichambua  Ibara za Rasimu ya Katiba Mpya zinazohusu Haki ya kupata Habari,Uhuru wa Vyombo vya Habari na Haki ya Kujieleza.
 Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari wakipitia rasmu hiyo

 Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kikuu cha Dar es Salaam, Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano, Ayub Ryoba akichangia maoni jinsi ya kuboresha Rasimu ya Katiba.Kutoka kulia ni Betty Joram wa Institute of Professional Studies, Tumaini Mwailenge wa Faraja Development Trust na Mashaka Mngeta wa gazeti la Nipashe.

 Mpigapicha wa gazeti la Kulikoni, John Badi akichangia maoni ya kuboresha rasimu hiyo.
Mhariri wa Radio Tumaini, Fred Mosha akichangia maoni. Kushoto ni Jiang Alipo Meneja Machapisho Femina Hip

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.