RC ISHENGOMA AAGIZA HALMASHAURI KUSIMAMIA FEDHA ZA MIRADI

 Mkuu wa  mkoa  wa Iringa  Dr.Christine Ishengoma akifungua  kikao cha kamati  ya ushauri  ya mkoa katika  ukumbi  wa Siasa ni Kilimo leo


 Vyombo  vya  ulinzi na usalama  mkoa  wa Iringa  vikifuatilia kikao hicho
 Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Dr Christine Ishengoma  akifungua  kikao cha RCC mkoa wa Iringa kulia ni mstahiki meya  wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi na kushoto ni katibu  tawala  mkoa wa Iringa Wamoja  Ayub


 Wajumbe wa  kikao cha kamati  ya ushauri mkoa (RCC)  wakiwa wamesimama kwa kumkumbuka aliyekuwa mkurugenzi wa Halmashauri ya  Kilolo marehemu Mohamed Gwalima aliyefariki ghafla  hivi karibuni ,kutoka  kushoto ni mkuu wa wilaya ya  Kilolo Gerald Guninita, mbunge  wa jimbo la Kilolo Prof Peter Msolla,mwenyekiti  wa Halmashauri ya  wilaya ya  Kilolo Joseph Muhumba na kaimu mkurugenzi wa wilaya ya Kilolo.Kwa hisani ya Francis Godwin Blog
 Mkuu wa mkoa  wa Iringa Dr Ishengoma Mstahiki meya  wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi na RAS Iringa wamoja  Ayub wakimkumbuka mkurugenzi Kilolo aliyefariki dunia mwezi huu
 Wajumbe wa kikao cha RCC Iringa  wakimkumbuka aliyekuwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilolo Mohamed Gwalima aliyefariki dunia hivi karibuni ,kutoka kulia ni mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati, mbunge wa viti maalum mkoa  wa Iringa Lediana Mafulu Mng'ong'o ,mbunge wa jimbo la Mufindi Kusini Mendlad Kigolla ,mku wa wilaya ya Mufindi, Evarita kalalu na mwenyekiti wa Halmashauri ya  Mufindi Peter Tweve



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.