WAFANYAKAZI AIRTEL DAR LEO WAKO MITAANI KUTOA SOMO JINSI YA KUJIUNGA NA AIRTEL YATOSHA!

Mkurugenzi wa Airtel huduma kwa wateja Bi Adriana Lyamba  LEO amesema Airtel imefanya zoezi  la kuingia mtaani jijini dar es salaam na wafanyakazi wao wote wa ofisi kuu jijini Dar es salaam kwa lengo ka kuhakikisha kuwa kila mteja anafaham jinsi ya kufaidika na huduma zao zote ikiwemo ya Airtel Yatosha ambapo mteja hujiunga kwa kupiga *149*99# Kisha kuchagua kifurushi nafuu cha  SIKU WIKI AU MWEZI ili kuongea kwa gharama nafuu kwenda mtandao wowote nchini Tanzania
 Meneja Uhusioano wa Airtel jackson mmbando akibadilishana mawazo na Maafisa mauzo wa Airtel  wa mkoa wa Dar es Salaam leo wakati wafanyakazi hao wakijipanga kuingia mtaaani kukutana na wateja wao na kuwaelekeza jinsi ya kujiunga na huduma ya Airtel Yatosha SHINDA NYUMBA 3
 Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa Airtel Bi, Adriana Lyamba akijipanga na mmoja wa afisa mauzo wa Airtel wa Dar es salaam Bi, Violet Kajubili muda mfupi kabla ya wafanyakazi wote  kuelekea katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar esa salaam kuonana na wateja ili kutoa huduma mbalimbali ikiwemo  kuwaelimisha wateja wao jinsi ya kutumia huduma ya Airtel yatosha na promosheni ya shinda nyumba 3.
 Baadhi ya maofisa na viongozi wa timu Airtel Yatosha  wakiendelea kupeana maelekezo jinsi ya kwend a kuingia sokoni kwenye kila mtaa jijini Dar es salaam ili kuwapa somo la AIRTEL YATOSHA shinda nyumba tatu
 
 Meneja Masoko na Chapa wa Airtel Bi, Upendo Nkini nae anawakilisha timu Yatosha kwenda mtaani sasa.AIRTEL YATOSHA NA BADOOOO!
 Usafiri maridadi umeandaliwa ili kuhakikisha kazi na mizunguko ya Airtel yatosha tour inakamilika bila zengwe.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.