WASHINDI WATATU WA PROMOSHENI YA TIGO YA 'MILIKI BIASHARA YAKO' WAKABIDHIWA BAJAJI ZAO

 Meneja wa Chapa ya Tigo, Wiliiam Mpinga (kushoto) akimkabidhi ufunguo mteja Mohamed Ramadhari Mnjori, ikiwa ni ishara ya kumkabidhi zawadi ya Bajaji aliyoshinda katika promosheni ya 'Miliki Biashara Yako' katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi watatu wa mwanzo jana katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam leo. 9PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
 Mnjori akishukuru kuewa zawadi hiyo.
  Meneja wa Chapa ya Tigo, Wiliiam Mpinga (kushoto) akimkabidhi ufunguo mteja
, Riziki Lucas Kisemo(36) mjasiriamali  ikiwa ni ishara ya kumkabidhi zawadi ya Bajaji aliyoshinda katika promosheni ya 'Miliki Biashara Yako' katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi watatu wa mwanzo jana katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam leo. (PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
 Kisemo akiteremka kwenye Bajaji baada ya kukabidhiwa na kuiwasha.
 Meneja wa Chapa ya Tigo, Wiliiam Mpinga (kushoto) akimkabidhi ufunguo mteja
,Adam SaidiKalulu (36) mkulima mkazi wa Kiluvya nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.  ikiwa ni ishara ya kumkabidhi zawadi ya Bajaji aliyoshinda katika promosheni ya 'Miliki Biashara Yako' katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi watatu wa mwanzo jana katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam leo. (PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)
 Mpinga (wa pili kushoto) akizungumza na washindi baada ya kuwakabidhi Bajaji
Moja ya Bajaji tatu zilizokabidhiwa  kwa washindi leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.