MAREKANI KUPAMBANA NA MAJANGILI AFRIKA

Bibi Hilary Clinton akisalimiana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kuweka mikakati ya kupambana na ujangili wa wanyama pori hususan Tembo katika nchi za Afrika iliyofanyika katika hoteli ya Sheraton jijini New York Marekani mwishoni mwa wiki iliyopita.Mfuko wa Clinton Foundation utatoa msaada wa fedha kufanikisha mapambano dhidi ya ujangili katika baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo Tanzania.Viongozi wengine wa Afrika waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na Rais Yoweri Museveni wa Uganda(kulia),Rais Joyce Banda wa Malawi(Wapili kushoto),Rais Alassane Outarra wa Ivory Coast(watatu kushoto),Rais Ali Omar Bongo wa Gabon(Wanne kushoto) na Rais Blaise Compaore wa Burkina Fasso(wapili kulia). Watano kushoto aliyesimama ni Chelsea Clinton Binti wa Rais Clinton ambaye ni mwanaharakati dhidi ya Ujangili.(picha na Freddy

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI