WAFANYAKAZI WA IDARA MBALI MBALI ZA SERIKALI WACHUANA KATIKA MASHINDANO YA MBIO ZA BAISKELI YA SHIMIWI MJINI DODOMA

Baadhi ya washiriki wakimalizia mbio hizo.
Mkimbiaji wa mbio za Baiskeli wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Rajab Salum Sheikh (kushoto) akichuana na mpinzani wake wakati wa mashindano hayo ya Shimiwi, yaliyofanyika mjini Dodoma leo asubuhi, ambapo wakimbiaji walikimbia jumla ya Kilometa 36. Rajabu alimaliza mbio hizo na kushika nafasi ya tisa kati ya washiriki 22.
Sehemu ya mashabiki wa mchezo huo waliojitokeza kushuhudia mbio hizo.
Rajab, akipongezwa na wafanyakazi wenzake wa Ofisi ya Makamu wa Rais, baada ya kumaliza mbio hizo za Kilometa 36. Picha na OMR 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI