SIMBA, KAGERA SUGAR NGOMA DROO. VURUGU ZAZUKA UWANJANI, MABOMU YA MACHOZI YAPIGWA

Amis Tambwe wa Simba akiudhibiti mpira huku akizongwa na Ernest Mwalupani wa Kagera Sugar wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. Hata hivyo baada ya Kagera kusawazisha kwa njia ya penati katika dakika ya 89, vurugu zilizuka ambapo mashabiki wa Simba walianza kuvunja viti na kuanza kurusha viti wakiulaumu uamuzi mbaya wa waamuzi.
Baada ya kuona hivyo FFU waliamua kuwafurumusha kwa kupiga mabomu ya machozi uwanjani hapo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI