WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO ATEMBELEA KITUO CHA KUFUA UMEME CHA SUMBAWANGA IKIWA NI PAMOJA NA KUZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA TANESCO

 Waziri wa Nishati  na Madini Profesa Sospeter Muhongo akipata  maelezo kutoka kwa mhandisi wa usafirishaji wa njia kuu za umeme Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi Stanslaus Deogratias mara alipotembelea kituo kidogo cha kuzalisha  umeme cha Sumbawanga chenye uwezo wa kuzalisha megawati  5.
 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akitoa maelekezo kwa watendaji wa kituo cha kuzalisha umeme cha Sumbawanga mara alipotembelea kituo hicho.
 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na wafanyakazi wa  Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Sumbawanga (hawapo pichani)  mara baada ya kuhitimisha ziara yake katika wilaya hiyo. Waziri Muhongo amewataka wafanyakazi hao kufanya kazi  kwa malengo ili kuchangia katika historia ya ukuaji uchumi kwa kutegemea nishati ya umeme.
 Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Sumbawanga wakifurahia  hotuba iliyokuwa inatolewa na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani). 
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akiwa katika picha ya pamoja na watendaji na wafanyakazi wa Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) mara baada ya kumaliza kikao na wafanyakazi hao

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI