PICHA KUTOKA CCM:JIONEE MWENYEWE JINSI KATIBU MKUU WA CCM ABDURAHMNA KINANA ALIVYOTIKISA JIJI LA DAR



 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wakazi wa Dar es Salaam kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwembeyanga.
 Wananchi waliohudhuria mkutano huo, uliofanyika juzi,  kumpongeza Rais
Jakaya Kikwete kwa hotuba yake aliyoitoa wakati wa kuzindua Bunge Maalum la
katiba,linaloendelea mjini Dodoma.
 Kinana akionyesha kadi ya Chadema aliyokabidhiwa na Ramadhan (kushoto).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI