TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA NAMNA YA KUTAFUTA UFUMBUZI WAKE JE WAJUA SUPU YA KORODANI ZA WANYAMA HULEREJA NGUVU ZA KIUME ?. vyakula asilia

Man and woman in bed
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa kwa ufasaha.

Tatizo hili linawakabili mamilioni ya wanaume duniani na limekuwa na athari nyingi kama vile kuvunjika kwa mahusiano na hata ndoa.

Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume anakuwa hana uwezo wa kumtosheleza mwanamke kwenye tendo la ndoa. 


DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
Mwanaume anayekabiliwa na tatizo la ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume huonyesha dalili zifuatazo:- 


1. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara. Kwa kawaida uume wa mwanaume aliyekamilika (rijali ) unaposimama, hutakiwa kuwa imara kama msumari, lakini kwa mwanaume anaye kabiliwa na tatizo hili uume wake hata ukisimama hubakia kuwa lege lege na huweza kusinyaa wakati wowote. Tatizo hili ni matokeo ya kulegea kwa mishipa ya uume. Mishipa ya uume ndio inayo ufanya uume usimame barabara.

Mishipa hii inapokuwa imelegea, uume hauwezi kusimama barabara hata iweje. Kulegea kwa mishipa ya kiume kunasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu. Mtu anaye piga punyeto anakuwa anaiminya mishipa inayo sababisha kusimama kwa uume, baada ya muda fulani, mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na hivyo linapo kuja suala la kusimamisha uume, mwanaume huyu anakuwa hana uwezo tena wa kusimamisha uume wake. 


Vilevile matumizi ya madawa makali (hususani madawa ya kizungu) ya kuongeza nguvu za kiume, husababisha mishipa ya uume kulegea. Hii ni kwa sababu madawa haya hui-overdose mishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi zaidi ya kiwango chake.

Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu humfanya muhusika kuwa tegemezi na pia hufanya mishipa ya uume wa muhusika kulegea na kukosa nguvu. 


2. Kukosa hamu ya tendo la ndoa: Hapa mwanaume anakuwa hana uwezo wa kutamani kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa faragha na mke wake. Tatizo hili kwa kiasi kikubwa husababishwa na msongo wa mawazo. 


3. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja. Hapa mwanaume akishakamilisha mshindo mmoja wa tendo la ndoa basi anakuwa hana tena uwezo wa kurudia mshindo mwingine. Hali hii husababishwa na kutokuwa na msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya kwenye uume.
4. Kufika kileleni mapema.


5. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha kabisa. Hali hii hutokea pindi tatizo la kutokuwepo kwa msukumo wa damu wa kutosha kwenye mishipa ya uume, linapokuwa limekomaa. Na wakati mwingine, hali hii hutokea pindi vyanzo zaidi ya kimoja vya tatizo la kiume vinapo kuwa vimejitokeza kwa mtu mmoja. 


6. Uume kusinyaa na kurudi ndani. Hapa uume wa mwanaume unakuwa umesinyaa na kurudi ndani. Uume huu unakuwa hauna uwezo wa kukamilisha tendo la ndoa. Hali hii kwa kiasi kikubwa husababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu pamoja na magonjwa hasa hasa chango la kiume au ngiri. Tajwa hapo juu ni dalili kuu za tatizo la ukosefu ama/na upungufu wa nguvu za kiume.


CHANZO CHA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
Kwa ufupi sana, mambo yafuatayo ndio vyanzo vikuu vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume:-

i. Upigaji punyeto wa muda mrefu. ii. Msongo wa mawazo. iii. Ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu (pressure). iv. Kupooza kwa mwili. v. Kuugua ugonjwa wa ngiri. vi. Kuugua chango la kiume. vii. Ulevi uliokithiri. viii. Kuwa na wasiwasi wa kumudu kutekeleza tendo la ndoa. ix. Woga wa kufanya tendo la ndoa. x. Uzoefu wa kukatisha tamaa wa siku za nyuma. xi. Ulaji mbovu wa vyakula haswa vyenye mafuta mengi/kupita kiasi. xii. Mazingira yasiyoridhisha wakati wa tendo la ndoa. 


ATHARI ZA UPUNGUFU / UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME
Kutokuwa na nguvu za kiume huleta madhara na athari nyingi sana kwa muhusika. Baadhi ya athari hizo ni pamoja na:-
Kuvunjika kwa mahusiano ya kimapenzi.
Kuvunjika kwa ndoa.


Kujiua: Baadhi ya wanaume hufikia uamuzi wa kujiua baada ya tatizo kuwa kubwa na kutumia dawa za aina mbalimbali bila mafanikio.


Upungufu wa nguvu za kiume huongeza chachu ya maambukizi ya V.V.U kwa wanandoa: Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linapokuwa sugu, hupelekea rafiki wa kike/ mke wa mwanaume anaye sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, kutoka nje ya ndoa kwa ajili ya kutimiziwa haja zake za kimwili, mwisho wa siku mwanamke huyo huweza kumletea magonjwa mume wake mwenye tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pindi wanapokutana kimwili katika hali hiyo hiyo ya kutoridhishana.


Ulevi kupita kiasi; Wakati mwingine wanaume wanao sumbuliwa na tatizo hili, huamua kuwa walevi kupita kiasi ili angalau kupunguza mawazo. Kwa ufupi ukosefu/ upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo kubwa sana ambalo endapo halitatafutiwa ufumbuzi na muhusika linaweza kuyaathiri maisha ya muhusika kwa kiasi kikubwa sana.
TIBA ASILIA YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

Zipo dawa mbalimbali asilia zinazo weza kutibu na kumaliza kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume. Kati ya tiba hizo, tiba ya dawa asilia ya nguvu za kiume iitwayo “JIKO” imethibitika kuwa na uwezo wa kutibu na kumaliza kabisa tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume kwa zaidi ya ASILIMIA MIA MOJA (100%)
KUHUSU DAWA YA JIKO

Dawa ya JIKO ni dawa ya a ilia (herbal) inayo tumika kutibu na kumaliza kabisa tatizo la nguvu za kiume pamoja na visababishi vya tatizo hii. Dawa hii haimalizi tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume pekee, bali pia inatibu visababishi ama vyanzo vyote vya tatizo la nguvu za kiume pamoja na side effects zitokanazo na baadhi ya visababishi vya tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume kama vile kujichua kwa muda mrefu.

Dawa hii ni mitishamba kabisa “pure herbal” ambayo haijachanganywa na kemikali yoyote na haina “side effects” kwa mtumiaji.
Dawa hii hutibu na kumaliza kabisa tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ndani ya siku thelathini (30).

MFUMO WA DAWA: Dawa ya JIKO ipo katika mfumo wa mizizi.

MATUMIZI YA DAWA: Dawa hii hutumika kwa kuchemshwa na kisha kunywa juisi yake mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kwa muda wa siku thelathini.
DOZI YA DAWA YA JIKO: Dozi ya dawa ya JIKO hutumika pamoja na vitu vikuu vitatu :

i. Korodani za beberu. ii. Korodani za jogoo aliyekomaa. iii. Unga wa Habbat Sawdah au Unga wa Mjafari au Unga wa Ngano (hapa kama utakosa unga wa Habbat Sawdah ama Unga wa Mjafari unaweza ukatumia unga wa ngano kama mbadala wake). iv. Karanga mbichi.
MATAYARISHO NA MATUMIZI YA DOZI YA DAWA YA JIKO

i. Dawa ya jiko yenyewe
Chukua dawa yako ya JIKO kisha iweke kwenye sufuria halafu ongeza lita mbili za maji halafu chemsha hadi dawa yako itakapo anza kutokota na kutoa supu. Ipua dawa yako na uihifadhi kwenye chupa ya chai (thermos ). 


Tumia kunywa vikombe viwili vya dawa yako mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni. Utakunywa dawa yako ikiwa ya moto na sio ikiwa ya baridi. Kama itaingiwa na ubaridi kwa sababu moja au nyingine, unatakiwa kuipasha moto. Utafanya hivyo kwa muda wa siku thelathini.

N.B : JUISI YAKO IKIISHA, UTACHEMSHA KIASI KINGINE CHA DAWA NA KUFANYA KAMA HAPO JUU HADI ZITIMIE SIKU THELATHINI.
ii. KORODANI ZA MBUZI
Chukua korodani mbili za mbuzi. Zitie ndani ya lita mbili za maji na uchemshe kutengeneza supu . Supu yako ikiisha iva utatumia kula supu yako mara mbili kwa siku asubuhi na jioni. Hapa asubuhi utakula supu yako na kipande kimoja cha korodani na jioni utamaliza supu yako na kipande kingine cha korodani. Unaweza kuweka na pilipili mbuzi kwa ajili ya kuongeza ladha.

Utafanya hivi mara moja kwa wiki kwa wiki nne. Yaani utakula supu mara moja kwa wiki ya kwanza, wiki ya pili utakula supu yako tena, wiki ya tatu utakula supu yako na wiki ya nne utamalizia dozi yako.

HATA HIVYO KAMA UNA UWEZO NA NAFASI UNAWEZA KULA SUPU YAKO YA KORODANI ZA MBUZI KWA MUDA WA SIKU ZOTE THELATHINI ZA DOZI. UKIFANYA HIVI MATOKEA YATAKUWA MARADUFU ZAIDI.

VILEVILE HATA BAADA YA KUMALIZA DOZI YAKO UNAWEZA KUWA UNAKULA SUPU YA KORODANI ZA MBUZI KILA UTAKAPO PATA NAFASI YA KUFANYA HIVYO.
iii. KORODANI ZA JOGOO

Unatakiwa kumeza korodani za Jogoo aliyekomaa zikiwa mbichi. Utameza nzima nzima zikiwa mbichi. Utazimeza pamoja na maji ya moto.

MATAYARISHO
Unatakiwa uwe na vitu vifuatavyo : i. Jogoo aliyekomaa pamoja na kisu kikali ama mchinjaji wa jogoo. ii. Unga wa Habbat Sawdah au iii. Unga wa Mjafari au iv. Unga wa Ngano. v. Kisosi au ki-plate. vi. Glasi mbili za maji ya uvuguvugu.


JINSI YA KUFANYA
Chinja jogoo wako kisha mpasue kunyofoa korodani zake. Baada ya kupata korodani za jogoo, ziweke kwenye kisosi au kiplate chenye unga wa habbat sawdah au unga wa mjafari au unga wa ngano kisha viringisha korodani hizo za jogoo kwenye unga huo halafu meza korodani moja baada ya nyingine kwa glasi moja ya maji ya uvuguvugu.

Utafanya hivi mara moja ndani ya hizo siku thelathini za dozi. Unaweza kufanya siku ya kwanza tangu uanze dozi yako au unaweza kufanya katikati ya dozi au hata wakati unamaliza dozi.

N.B: KAMA UNA UWEZO NA NAFASI UNASHAURIWA KUMEZA KORODANI ZA JOGOO KWA WINGI KADRI UTAKAVYO WEZA. UTAPATA MATOKEO BORA ZAIDI. KORODANI ZA JOGOO PAMOJA NA DAWA YA JIKO ZITAKUSAIDIA KUWA NA UWEZO WA KURUDIA TENDO BILA KUCHOKA NA KUKAA KIFUANI KWA MUDA MREFU ZAIDI.

VYAKULA VYA KUTUMIA i. Unashauriwa kutumia kilo moja ya karanga mbichi kila wiki kwa muda wa wiki zote nne za dozi yako. Hii ina maana kuwa kwa wiki zote nne utatakiwa kutafuna kilo nne za karanga mbichi.

N.B : KAMA UTAWEZA KUTUMIA ZAIDI YA KIWANGO HICHO HAPO JUU, LITAKUWA NI JAMBO BORA ZAIDI

ii. Vile vile unatakiwa kula tikiti maji moja kwa wiki kwa muda wa wiki nne za dozi. Yaani wiki ya kwanza ule tikiti moja. Wiki ya pili tikiti moja. Wiki ya Tatu tikiti moja na wiki ya nne tikiti moja, jumla matikiti manne kwa mwezi.  


UNATAKIWA KUTAFUNA PAMOJA NA MBEGU ZAKE.
KAZI INAYOFANYWA NA DAWA YA JIKO


Dawa ya JIKO inasadia katika mambo makuu yafuatayo:
i. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa. ii. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume. 


iii. Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu. iv. Husaidia ku-relax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo. v. 

Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja bila kuchoka. vi. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa. vii. Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani. viii. Husaidia kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za (za kizungu) za kuongeza nguvu za kiume.

ix. Husaidia kutibu chango la kiume. x. Dawa hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa. 

JINSI YA KUIPATA DAWA
Unaweza kuja kuichukua ofisini kwetu au kwa wasio weza kufika ofisini kwetu tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa mahali walipo.

DELIVERY
WATEJA WA MIKOANI : Kwa wateja wa mikoani tunawatumia dawa kwa njia ya magari na wale wa Zanzibar tunawatumia dawa kwa njia ya meli.

WATEJA WA NCHI JIRANI : Kenya, Uganda, Rwanda & Burundi tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi.

Kwa wateja wa nje ya Afrika : Kwa wateja wa nje ya Afrika tunawatumia dawa kwa njia ya posta au DHL.

Wateja wa SOUTH AFRIKA NA BOTSWANA
Kwa wateja wetu waliopo South Afrika na Botswana tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi au posta.

MAWASILIANO
Wasiliana nasi kwa simu namba 0766538384
Makala hii imeandaliwa na NEEMA HERBALIST

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI