Wakatoka nje kwenda kumlaki, wakapiga makelele, Hosana!


_MG_4112_bf9b0.png
_MG_4144_3c606.png
_MG_4167_1466b.png
_MG_4192_d61c9.png
_MG_4215_6ccbb.png
Na Edward Majura Sagini, Iringa.
Jumapili hii imekuwa ya aina yake, waumini wa madhehebu ya kikristo wamesherehekea siku ya matawi, Jumapili ya matawi inaadhimishwa jinsi Yesu Kristo alivyoingia Yerusalemu ili kufa na kufufuka kwa wokovu wa binadamu wote. Siku hiyo alishangiliwa na umati kwa kutumia matawi, ndiyo asili ya jina.
Kila kona katika manispaa ya iringa wanaonekana watu wakiwa na mitende kama si kwenye maandamano ya kuelekea ibadani basi wakitoka.(mjengwablog.com)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.