JK AMWAPISHA JAJI LILA KUWA JAJI KIONGOZI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA

 Jiji kiongozi mpya wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila akila kiapo alipokuwa akiapishwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu, Dar es Salaam leo.


 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Jaji Kiongozi mpya wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila (kushoto kwake) pamoja na viongozi wengine



 JK AKISALIMIANA NA NDUGU WA jAJI HUYO



 Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu (kushoto), akizungumza na Jaji Kiongozi mpya wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shaaban Lila

 Rais Kikwete akifikiria jambo alipokuwa akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika hafla hiyo

Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi zana za kazi Jaji Kiongozi mpya wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Shabaan Lila,baada ya kumwapisha  Ikulu, Dar es Salaam . (PICHA ZOTE NA NA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.