OBAMA AMSHAURI KIPA WA MAREKANI ‘TIM HOWARD’ KUNYOA NDEVU ZAKE

ObamaRais wa Marekani, Barack Obama, amewapigia simu na kuwapongeza wachezaji  wa timu ya taifa ya Marekania akiwemo kipa wa timu hiyo, Tim Howard pamoja na Clint Dempsey baada ya kutolewa kiume kwenye fainali za kombe la Dunia na timu ya Ubelgiji.
Wakati wa mazungumzo yao, Obama aliwafagilia kwa jinsi walivyopambana kwa moyo mmoja kwa  ajili ya Taifa lao na kuwakumbushia enzi zake alipokuwa akisakata kabumbu sambamba na kumpa ushauri ‘Timmy’ wa kuondoa ndevu zake. 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI