𝗠𝗮𝗸𝗮𝗯𝗶𝗹𝗮 10 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘆𝗼 𝘂𝗸𝗶𝗸𝗮𝗮 𝗸𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗻𝗮𝗼, 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗯𝗼𝗮 𝗸𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗿𝗮𝗵𝗶𝘀𝗶 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 ⚠️ Kumbuka: Haya ni maoni na mitazamo ya kijamii tu, si kwamba kabila fulani lina mafanikio kuliko lingine. Mafanikio yanategemea juhudi, elimu, nidhamu na fursa. 1. Wasukuma Wana sifa ya kufanya kazi kwa bidii, hasa kwenye kilimo, ufugaji na biashara. Wengi huaminika kuwa wavumilivu katika kutafuta maendeleo. 2. Wachagga Hujulikana kwa moyo wa biashara, uwekezaji na kusaidiana kifamilia katika shughuli za maendeleo. 3. Wahaya Wana historia ndefu ya biashara, elimu na shughuli za uzalishaji zinazochochea maendeleo. 4. Wanyakyusa Wengi wanasifiwa kwa bidii katika biashara, kilimo na uwekezaji wa muda mrefu. 5. Wakinga Hujulikana kwa uchapakazi, nidhamu na uthubutu wa kutafuta fursa sehemu mbalimbali za nchi. 6. Waha Wana sifa ya kujituma katika biashara na shughuli mbalimbali za kiuchumi. 7. Wapare Mara nyingi husifiwa kwa kuthamini elimu, kazi na mipango y...
HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI
Soma Taarifa ya UTEUZI:Rais Jakaya Kikwete amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA NISHATI NA MADINI Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd). Uteuzi huo wa Dkt. Ben Moshi ni wa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 1 Machi, 2014. Kutokana na uteuzi huo Waziri wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter M. Muhongo (Mb.) amewateua wafuatao, kuwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya PUMA Energy (T) Ltd kwa kipindi cha miaka mitatu (3) kuanzia tarehe 1 Machi, 2014: Mhandisi Dkt. Malima MP. Bundara, Mwenyekiti Mtendaji wa Kituo cha GARETRACE; Bw. Solomon R.M. Odunga; Katibu Mkuu Mstaafu; Bw. James Andilile, Kamishna Msaidizi wa Nishati katika Wizara ya Nishati na Madini Bw. Daniel N. Nsanzugwanko, Mtaalam Mshauri wa masuala ya biashara. Imetolewa na KATIBU MKUU
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, ...
MAAFISA JENERALI WASTAAFU 17 WA JWTZ WAAGWA.
BINTI WA KITANZANIA GLORIA MAJULE ASHINDA TUZO YA UANDISHI BORA WA FILAMU YA MALARIA MAREKANI
Binti wa Kitanzania, Gloria Majule, ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Dkt. Neema Majule, amepata mafanikio makubwa baada ya kutwaa tuzo ya Uandishi Bora wa Filamu kuhusu Malaria nchini Marekani. Gloria, ambaye anasoma katika Chuo Kikuu cha Cornell nchini Marekani na tayari ana shahada mbili, aliibuka mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka 2025/2026 baada ya kuwashinda washiriki zaidi ya 1,000 kutoka mataifa mbalimbali. Ushindi huo ulimwezesha kutembea kwenye zulia jekundu (Red Carpet) kama sehemu ya hafla ya utoaji wa tuzo. Kupitia mafanikio hayo, Gloria ameendelea kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kimataifa. Mabango yanayotangaza ushindi wake na filamu hiyo yamewekwa katika maeneo mbalimbali jijini New York, Marekani. Filamu hiyo, inayoangazia ugonjwa wa malaria ambao unaendelea kuathiri kwa kiasi kikubwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, ikiwemo Tanzania, imepata umaarufu mkubwa nchini Marekani na kuvutia watazamaji wengi. Kwa mujibu w...
HII NDIYO CV YA KOCHA MPYA WA YANGA
Manqoba Brilliant Ferrimant Mngqithi ni raia wa Afrika Kusini. Alizaliwa tarehe 25 Aprili 1971 huko Umzimkhulu, mkoa wa KwaZulu-Natal. Kabla ya kuwa kocha wa soka alikuwa mwalimu wa shule. CV yake kwa ufupi ni hii: Alianza ukocha katika klabu za Maritzburg City, Moja United, Highlanders, na timu ya Chuo Kikuu cha KwaZulu-Natal. Mwaka 2007–2010 alikuwa kocha wa Golden Arrows, ambapo aliiongoza kushinda kombe la MTN 8 mwaka 2009. Mwaka 2010–2011 alikuwa kocha wa AmaZulu FC. Mwaka 2012 aliifundisha Chippa United kwa kipindi kifupi kabla ya kurejea Golden Arrows (2012–2013). Kuanzia 2013 alijiunga na Mamelodi Sundowns kama kocha msaidizi chini ya Pitso Mosimane, baadaye akawa kocha mwenza (co-head coach), kisha kocha mkuu mwaka 2024. Aliondoka klabuni mwishoni mwa 2024. Mwaka 2025 alirejea tena kuwa kocha mkuu wa Golden Arrows. Mafanikio yake makubwa ni pamoja na: Ubingwa wa South African Premiership mara mbili kama kocha mwenza wa Mamelodi Sundowns (2020–21 na...
KOCHA WA MC ALGERS AIHOFIA YANGA
" Naifahamu Yanga, sio Timu ngeni kwangu, ni moja ya Klabu za kisasa Ukanda wa Kusini mwa Jangwa la Sahara.. Siku wanacheza Fainali ya #CAFCC nilikuwepo uwanjani kama Ofisa wa CAF TV na nilipewa nafasi ya kufanya mazungumzo ya Karibu na Kocha wao wa Wakati huo Nasserdin Nabi na wachezaji kadhaa.. walicheza mchezo mzuri na asilimia kubwa ya wachezaji waliokuwa nao kipindi kile naona wanao mpaka sasa" "Naamini Yanga watakuwa ni changamoto nzuri zaidi kwetu katika mashindano haya msimu huu na mechi yetu ijayo dhidi yao ni ya kuoneshana ubora wa Timu hizi mbili pande zote." Maneno ya Kocha Mkuu wa MC Algers, Patrick Beaumelle jana baada ya mchezo wa League 1 dhidi ya Entente Sportive Setifienn
CDF MKUNDA AWATAKA MAAFISA JENERALI WASTAAFU KUACHA KUHANGAIKA NA SIASA
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda amewaasa maafisa jenerali 17 Wastaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), kuacha kuhangaika na mambo ya siasa na mengineyo, bali watulie waishi vizuri na familia zao. Pamoja na mambo mengine Jenerali Mkunda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kuwaaga maafisa Jenerali hao katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Kikombo jijini Dodoma Julai 10, 2026. Magari maalumu yaliyobeba maafisa jenerali 17 wastaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), yakisukumwa katika hafla ya kuwaaga iliyoongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda katika Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa Kikombo jijini Dodoma Julai 10, 2026. Jenerali Mkunda (aliyekaa mbele katikati pamoja na viongozi wengine) wakiwa katika picha ya kumbukumbu na maafisa jenerali wastaafu walioagwa. Jenerali Mkunda akiagana na Meja Jenerali Mstaafu Suleiman Mungiya Mzee Askari wakiwa wamejipanga tayari kupita katikati magari maalumu yaliyowabeba ...
IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA
Pacome Zouzoua alizaliwa tar 30 April 1997 nchini Ivory Coast ktk kitongoji cha Port. Hadi sasa ana umri wa miaka 26, ni kiungo wa kati mwenye uwezo wa kipekee anayetumia zaidi mguu wa kulia ktk kazi yake ya mpira. Alijiunga na Yanga tar 19 - 7 - 2023 majira ya saa 5 usiku akitokea ktk Club ya Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast. Ni mchezaji mkakamavu mwenye wepesi miguuni anapokuwana mpira, hujituma sana awapo uwanjani na inavyosemekana ni tofauti sana na awapo ktk mazoezi ya kujiandaa na mechi, lakini siku za mechi kila mara amekuwa moto zaidi nakuwa mkombozi kwa timu kwa kuinasua kimatokeo. Nitaendelea kumpatia maua yake siku zote atakazokuwa ndani ya Young African Sports Club. Pacome Zouzoua anaujuaaaaa.
HIZI HAPA TAKWIMU ZA PETER SHALULILE MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC 🔰 🔥
Jina Kamili: Peter Shalulile Tarehe ya Kuzaliwa: Oktoba 23, 1993 Nchi: Namibia Nafasi: Mshambuliaji (Striker) / Nahodha Urefu: Sentimita 174 Mguu wa Kazi: Kulia Historia ya Vilabu Alivyochezea Tura Magic FC (Namibia) – Alianzia hapa soka lake la ushindani. Highlands Park FC (Afrika Kusini) – Alijiunga nayo akitokea Namibia kabla ya kuhamia Mamelodi. Mamelodi Sundowns FC (Afrika Kusini) – Alijiunga Julai 2020 hadi Julai 2026, alipoiacha timu hiyo akiwa amefunga mabao zaidi ya 100. Mafanikio na Rekodi Kuu Mataji ya Ligi: Ametwaa mataji 5 ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL) akiwa na Mamelodi Sundowns. Ligi ya Mabingwa Afrika: Alisaidia Sundowns kubeba ubingwa wa CAF msimu wa 2025/26. Tuzo Binafsi: Amewahi kuwa Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini na Mchezaji Bora wa Msimu mara kadhaa kutokana na ukali wake langoni. Timu ya Taifa: Nahodha na kinara wa kufunga mabao wa muda wote katika kikosi cha timu ya taifa ya Namibia (Brave Warriors




Comments