MAKOMANDOO WA NEPAL WAKIONESHA NYUMBA YA MNYARWANDA WALIYOKUWA WAKILINDA UWANJA WA NDEGE DAR

 Komandoo Sidhee Bahadurkatuwal (kulia) kutoka Nepal akionesha nyumba ya Mrwanda aliyokuwa akiilinda kupitia kampuni ya Ulinzi ya Advanced Security  karibu na  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, akiwa na makomandoo wenzake kutoka Nepal,
 Maofisa wa Uhamiaji wakimhoji mama wa kitanzania aliyeolewa na mnyarwanda ambao nyumba yao ilikuwa ikilindwa na Komandoo kutoka Nepal
 Baadhi ya makomandoo wa kijeshi kutoka Nepal wakiwa wamevalia sare ya Kampuni ya Ulinzi ya Advanced katika nyumba hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI