MSAMA ANASA CD FEKI NA MASHINE ZA KUDURUFIA ZENYE THAMANI YA SH. MIL 200

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionesha moja kati ya mashine 10 za kudurufia CD za muziki zilizokamatwa na polisi katika msako wa wanaotengeneza CD feki za muziki wa wasanii mbalimbali nchini. Watu 20 wakiwemo wamiliki wa nyumba wawili waliowapangiza watuhumiwa hao. Msama alikuwa anaonesha mashine hizo leo katika Kituo cha Polisi cha Urafiki, Ubungo Dar es Salaam.Mashine na CD zilizokamatwa zina thamani ya sh. mil. 200.  (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Baadhi ya mashine hizo zilizokamatwa katika msako huo
 Sehemu ya mashine na dawa zinzotumika kutengenezea CD
 Msama akisaidiana na Poilisi wa Kituo cha Urafiki kumwaga CD mbalimbali zilizokamatwa maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam
 Msama akizimwaga CD zilizokamatwa jijini Dar es Salaam
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionesha moja kati ya mashine 10 za kudurufia CD za muziki zilizokamatwa na polisi katika msako wa wanaotengeneza CD feki za muziki wa wasanii mbalimbali nchini. Watu 20 wakiwemo wamiliki wa nyumba wawili waliowapangiza watuhumiwa hao. Msama alikuwa anaonesha mashine hizo leo katika Kituo cha Polisi cha Urafiki, Ubungo Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Msama akionesha dawa na rangi zinztotumika kutengenezea CD
 Msama akionesha mashine ya kubadilishia rangi za macover ya CD
 Msama akizungumza na waandishi wa habari katika Kituo cha Polisi cha Urafiki kuhusu sakata hilo ambapo ameapa kupambana na wezi wa kazi za wasanii mpaka mwisho.
 Msama akionesha baadhi ya CD feki zilizokamatwa ambapo alisema mashine na CD zilizokamatwa zina thamani ya sh. mil. 200
 Sehemu ya CD zilizokamatwa
 Moja ya CD iliyokamatwa ikiwa na stempu feki ya TRA
 CD feki ya msanii Bahati Bukuku iliokamatwa ikiwa na Stempu feki ya TRA
CD nyingine feki iliyokamatwa

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI