Balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake hapa nchini Bw.Marcel Escure akutana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng Binilith Satano Mahenge


      

_DSC1021Balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake hapa nchini Bw.Marcel Escure (pili kushoto), akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng Binilith Satano Mahenge, alipokwenda kumuaga ofisini kwake mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam na kumtambulisha kuu wa mahusiano mpya bwana Philippe Boncour wa (tatu kushoto) atakayekuwepo hapa Nchini . Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk. Julius Ningu.
_DSC1027Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Dk. Eng Binilith Satano Mahenge akieleza jambo kwa balozi wa Ufaransa aliyemaliza Muda wake wa kukaa hapa Nchini Bwana Marcel Escure alipowasili ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI