DR KHAMIS KIGWANGALLAH NA FAMILIA YAKE AKIWASILI KWENYE HOTELI YA HYYAT KILIMANJARO TAYARI KWA KUTANGAZA NIA KUWANIA URAIS 2015

1Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya serikali za Mitaa na Mbunge wa jimbo la Nzega Dr. Khamis Kigwangallah akiwasili katika hoteli ya Hyyat Kilimanjaro kwenye mkutano na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali ambapo leo ametangaza nia ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania unaotarajiwa kufanyika mwaka ujao 2015, Dk. Khamis Kigwangallah ameongozana na mke wake Dr. BayoumAwadh na watoto wake Sheila ambaye ni mkubwa Hawa na HK Junior aliyembeba.
2Dr. Khamis Kigwangallah wakiigia katika chumba cha mkutano tayari kwa kuanza mkutano huo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI