TBL YAPATA TUZO WIKI YA NENDA KWA USALAMA



 Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Mbwilo, akimkabidhi Cheti cha kutambua mchango mkubwa uliofanywa na Kampuni ya Bia nchini (TBL) ambayo iliendesha zoezi la upimaji afya kwa madareva, Meneja wa Kiwanda cha Bia Arusha Moshi  Sarvatory Rweyemamundiye aliyepokea kwa niaba ya uongozi wa Kampuni hiyo wakati wa kufunga Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani iliyofanyika kitaifa mkoani Arusha.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI