LUNDENGA AMSAFISHA MISS TANZANIA 2014, SITTI MTEMVU KUHUSU UMRI

 Mratibu wa Mashindano ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga akionesha cheti halisi cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu (kushoto) wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya ufafanuzi wa umri wa miss huyo huyo ulioleta utata na sintofahamu kwenye vyombo vya habari. Cheti hicho kilichotlewa na RITA mwaka huu kinaonesha Sitti alizaliwa Mei 31, 1991, Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.
 Lundenga akizungumzia kuhusu taratibu zinazopaswa kufanyika wakati wa kusajili washiriki wa Miss Tanzania, ikiwemo kuwataka kila mmoja kuwapelekea cheti cha kuzaliwa jambo ambalo lilitekelezwa na washiriki wote akiwemo SittiMtemvu (kushoto) Kulia ni Miss Tanznania namba mbili , Lilian Kamazima.







 Sitti Mtemvu akitoka na mamake Mariam Mtemvu baada ya mkutano kumalizika.

Sitti Mtemvu  akiingia kwenye gari lililokuwa linaendeshwa na mamake mzazi, Mariam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.