KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABULRAHMAN KINANA AANZA ZIARA YAKE MKOANI LINDI, APATA MAPOKEZI MAZURI SOMANGA KILWA

      

1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivalishwa Skafu na vijana na wa Chipukizi wakati alipowasili eneo la Somanga wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi akianza ziara yake ya siku 16 katika mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza sughuli za maendeleo zinazotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na wananchi, Katibu Mkuu huyo anaongozana naNape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi pamoja na Mjumbe wa NEC mkoa wa Lindi na Mbunge jimbo la Mtama Mh. Bernald Membe.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SOMANGA-KILWA) 3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Wilaya  ya Kilwa na Mkoa wa Lindi waliofika katika eneo la Somanga kwa ajili ya mapokezi Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ali Mtopa. 4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliofika kumpokea katika eneo la Somanga wilayani Kilwa kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi. 5Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Ndugu Abdallah Ulega wakati akielekea kushiriki ujenzi wa jengo la VICOBA  Mwamko Somanga. 6Mmoja wa wasanii Ali Said Abubakary akicheza wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. 7Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika ujenzi wa VICOBA Mwamko Somanga. 8Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua ukumbi wa VICOBA Mwamko Somanga. 10Mjumbe wa NEC mkoa wa Lindi na Mbunge jimbo la Mtama Mh. Bernald Membe akizungumza na wananchi katika mji wa Somanga mara baada ya kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. 11Mkuu wa mkoa wa Lindi Magalula Sid Magalula akiwasalimia wananchi huku Katibu Mkuu wa CCM akinyanyua mkono wake juu kuashiria kupokea salamu zao.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI