KINANA AWATAKA MAWAZIRI MWAKYEMBE, MUHONGO NA MAHENGE KUTEKELEZA WAJIBU WAO HARAKA IWEZEKANAVYO KUHUSU BANDARI, KUKATIKAKATIKA KWA UMEME NA TAKA ZA SUMU MTWARA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara Mjini Mtwara leo, ambapo aalimpa Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe kutoa majibu ya kwanini shenena za korosho hazipishiwi Bandari ya Mtwara? Pia ametoa mwezi mmoja wa  Waziri wa Mazingira kuhusu suluhisho  kuhusu utupwaji ovyo taka za sumu mjini Mtwara  pamoja na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuhusu kukatikakatika ovyo kwa umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia katika mkiutano wa hadhara  Mjini Mtwara leo ambapo aliwabeza wapinzani kwamba wako mahututi kwani hata katika chaguzi zijazo CCM itawabwaga hivyo kufa kabisa.
 Wananchi wakishangilia wakati Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya  pamoja na kusikiliza kero za watu na kuzitafutia ufumbuzi.
 Kinana akishangili na wafuasi wa CCM alipowasili kwenye mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mashujaa.
 Wananchi wakisikiliza kwa makini hotuba ya Kinana
 Nape Nnauye akuhutubia katika mkutano huo uliofurika watu
 Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini, Hasnein Murji akuziihutubia katika mkutano huo ambapo alielezea miradi mbalimbali iliyotekelezwa  katika jombo hilo kwa kufuata Ilani ya Uchag
 Wafuasi wa CCM wakishangilia kwa nderemo hotuba ya Kinana

 Kinana akikagua Uwanja wa CCM wa Umoja ambao umepandwa nyasi katika sehemu ya kuchezea ikiwa ni mwendelezo wa ukarabati wa uwanja huo
 Katibu wa CCM Mkoa wa Mtwara, Shaibu Akwilombe akielezea jinsi walivyokarabati  Uwanja huo kwa nyasi kutoka Afrika Kusini.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akielezea jinsi CCM inavyokarabati viwanja vyao katika mikoa ya Mbeya, Mwanza, Mbeya, Shinyanga Mtwara.
Kinana akikagua Uwanja huo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI