KIPANDE KIDOGO KILICHOBAKIA KATIKA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU,NAIBU WAZIRI WA UJENZI MHANDISI GERSON LWENGE AKAGUA NAKUSHIRIKI KUCHANGANYA SEMENTI NA UDONGO KWENYE BAADHI YA MAENEO KATIKA KIPANDE CHA BARABARA HIYO
Baadhi ya sehemu ya barabara hiyo ikiwa imeweka lami kama inavyoonekana.
Sehemu ya barabara ya Ndundu-Somanga ikiwa imeanza kuwekwa lami kwenye kipande hicho kilichobakia.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge wapili kutoka kulia
akipewa maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkazi Agarton Mwenda kuhusu kazi
zinazoendelea kwenye barabara hiyo ya Ndundu-Somanga inayotarajiwa
kukamilika mwezi huu wa 11.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akifanya kazi ya
kuchanganya cementi na udongo katika baadhi ya maeneo katika kipande
hicho cha barabara.
Naibu
Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akiendelea na ukaguzi
wa kazi za uchanganyaji wa cement na udongo katika kipande hicho kidogo
cha barabara.
Comments