MAMIA WAJITOKEZA KATIKA IBADA YA KUMUAGA NGURI WA MUZIKI WA INJILI- GEORGE GODWIN NJABILI KUZIKWA KWAO KIWIRA WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA KESHO NOVEMBA 23-2014.


 Marehemu George Godwin Njabili enzi za uhai wake.
 Mjane wa marehemu (wa tatu),akiwa na watoto na ndugu na jamaa wakati wa ibada hiyo.(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com)
 Geneza lenye mwili wake likiingizwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kwa ajili ya ibada hiyo.
 Wachungaji wa Kanisa hilo wakiongoza ibada hiyo.
 Ndugu jamaa na marafiki wa marehemu wakiwa kwenye 
ibada hiyo.





 Hakika ni huzuni kubwa kwa kuondokea na mpendwa wetu George.
 Safari ya mwisho ya mpendwa wetu George Njabili.
 Ni huzuni kwa ujumla.
 Mjane wa George Njabili (katikati), pamoja na watoto wao.
 Ni ibada iliyowagusa wengi waliomfahamu George Njabili.


Wanakwaya wakiimba kwenye ibada hiyo. 


 Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa kwenye ibada hiyo.
Ni nyuso za huzuni ndani ya ibada hiyo.
Ndugu na jamaa wakitoa heshima za mwisho.


Mjane wa George akisali na watoto wake mbele ya
jeneza la mume wake wakati wakiaga mwili wake

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.