PINDA AZINDUA HARAMBEE YA UJENZI WA KITUOCHA WATOTO NA VIJANA-UDSM


 

PG4A8561 Waziri Mkuu, Mkzengo Pinda akisalimiana na  viongozi wa Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaa  baada ya kuwasili chuoni hapo ili kuzinduaa harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto na Vijana cha Kanisa hilojijini Dar es salaama Novemba 2, 2014(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A8592Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Frederick Msagala CD ya kwaya ya Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaam baada ya kuinunua kwa sh. 700,000 katika uzinduzi wa Halambee ya kuchangia ujenzi wa  Kituo cha Watoto na Vijana cha Kanisa iliyo mjini Dar es slaam Novemva 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A8679  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watoto  baada ya kuzindua harambee ya  ujenzi wa Kituo cha Watoto na Vijana cha Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaam Novembe 2, 2014. Kulia Kwake ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Titus Mdoe na kushoto kwake ni Askofu   Charles Salala wa Kanisa la Afrikani Inland Church. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI