PROFESA JAKAYA KIKWETE AENDA MAREKANI

      

unnamed Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari pamoja na
wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo
Novemba 6, 2014
unnamed1 Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa

wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meneja wa Emirates katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege
ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo Novemba 6, 2014

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.