Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wazee wa mji wa Dodoma leo katika mkutano waliouitisha wazee kwenye ukumbi wa Kilimani, Dodoma, ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo

Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma leo Novemba 4, 2014 tayari kwa mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye
maswala kadhaa ya maendeleo.
Wimbo wa Taifa
Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Jakaya Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma
Sehemu ya wazee wakati wa mkutano wao na Rais Kikwete mjini Dodoma leo waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa Mazungumzo kati ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na wazeewa mji wa Dodoma

Comments