WACHEZAJI WATATU WANAOWANIA MCHEZAJI BORA WA DUNIA "Ballon d’OR" WAMETAJWA

Orodha ya wachezaji watatu waliongia kwenye fainali ya kuwania tuzo ya Ballon’Dor inayotolewa kwa mchezaji bora wa dunia imetajwa hii leo . 
Orodha hiyo imewajumuisha wachezaji watatu ambao ni nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo , nahodha wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi, na Kipa wa timu ya taifa ya Ujerumani Manuel Neuer. 
Ronaldo ndio mchezaji bora kwa sasa baada ya kutwaa tuzo hiyo mwaka jana.Mchezaji ambaye anatetea tuzo hii hadi sasa ni Cristaino Ronaldo ambaye aliitwaa kwa mwaka 2013 na kwa jinsi mambo yanavyokwenda ana nafasi kubwa ya kutwaa tuzo hiyo mwakani . 
Lionel Messi aliwahi kutwaa tuzo nne mfululizo za Ballon’Dor.
Mshindi wa tuzo hii atatangazwa kwenye hafla itakayofanyika huko Zurich januari 12 ambapo tuzo mbalimbali zitatolewa .
Kipa wa Ujerumani Manuel Neur atawania tuzo hiyo dhidi ya Lionel Messi na Cristaino Ronaldo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.