FALLY IPUPA AMFURAHIA DIAMOND PLATNUMZ

      

10407079_867106173311198_3343183014041475360_nMwanamuziki Diamond Platnumz akifurahia jambo na mwanamuziki Fally Ipupa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC wakati walipokutana kwenye mazoezi kabla ya kupanda jukwaa moja kwenye hafla ya utoaji tuzo za mwanasoka bora Afrika 2014.zinazoandaliwa na Shirikisho la Vyama vya Mpira wa miguu barani Afrika CAF.
Diamond atatumbuiza katika tuzo hizo ambazo wachezaji 25 nyota barani Afrika wamechaguliwa kugombea tuzo hizo. Hafla hiyo itafanyika  leo Januari 8, 2015 jijini Lagosi Nigeria

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.