Mwenyekiti
Mteule wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Richard Ndassa (Mb)
akiwashukuru wajumbe wa Kamati hiyo baada ya kuchaguliwa kuwa
Mwenyekiti wa Kamati hiyo baada ya Mwenyekiti wa awali Mhe. Victor
Mwambalaswa kujiuzulu kufuatia maazimio ya Bunge kuhusu sakata la
Account ya Tegeta ya Escrow. Mhe. Ndasa alimshinda mpinzani wake Mhe.
Jerome Bwanausi (Mb) katika uchaguzi huo.
Makamu
Mwenyekiti wa Kamati Bunge ya Nishati na Madini Mhe. Jerome Bwanausi
akitoa neno la shukrani mbele ya wajumbe wa kamati hiyo baada ya
kuchaguliwa tena kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Picha na Owen Mwandumbya
Comments