Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni kutoka Russia ya
Mantra Tanzania Limited inayokusudia kuwekeza katika Mradi Uranium wa
Mto Mkuju, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 21, 2014. Kushoto
ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary
Nagu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu
(kulia) akiteta na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
(AfDB), Bibi Tonia Kandiero baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Dr.
Nagu jijini Dar es salaam Januari 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kab
Comments