Rais Kikwete amjulia hali Mgonjwa Bagamoyo

      

unnamed Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkazi wa Bagamoyo mjini Bwana Mohamed Amani anayeugua ugonjwa wa Kiharusi kutokana na maradhi ya moyo.Rais Kikwete aliyekuwa katika mapunziko ya mwisho wa wiki nyumbani kwake mjini Bagamoyo alimwona mgonjwa huyo  na kuamua kusimama kumjulia hali na kuahidi kumpatia msaada wa matibabu(Picha na Freddy Maro

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.