DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI,MAKAAZI MAJI NA NISHATI.

               

dk1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.] dk2Waziri wa Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban (kulia) alipokuwa akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika kikao kilichofanyika leo jioni ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Naibu wake Haji Mwadini Makame,[Picha na Ikulu.) dk3Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati  wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika kikao kilichofanyika leo jioni ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar  iliyosomwa na Waziri Ramadhan Abdalla Shaaban (hayupo pichani) mbele ya Mwenyekiti wa KIkao hicho Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.