JK AONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM SONGEA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono wananchi alipowasili kwenye Uwanja wa Maji Maji Mjini Songea, wakati wa maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyofanyika kitaifa mkoani Ruvuma
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipigiwa saluti na chipukizi kwenye Uwanja wa Maji Maji Mjini Songea, wakati wa maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyofanyika kitaifa mkoani Ruvuma.Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la chipukizi kwenye Uwanja wa Maji Maji Mjini Songea, wakati wa maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyofanyika kitaifa mkoani Ruvuma.Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye.picha zote na kamanda richard mwaikenda;kamanda wa matukio blog
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi alipowasili kwenye Uwanja wa Maji Maji Mjini Songea, wakati wa maadhimisho ya miaka 38 ya CCM yaliyofanyika kitaifa mkoani Ruvuma.Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye.
 Chipukizi wakicheza karate wakati wa maadhimisho hayo.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya maadhimisho hayo, Emmanuel Nchimbi 9kulia0 akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana wakisubiri kuwasili kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete.
 Gwaride la chipukizi n likitoa heshima jukwaa kuu
 Chipukizi wakila kiapo cha utii kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete
' Makomandoo' Chipukizi wa CCM  wakipita kwa ukakamavu jukwaa kuu
 Sehemu ya umati wa watu uliofurika kushuhudia maadhimisho hayo
 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya miaka 38 ya CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi akizungumza katika maadhimisho hayo. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.

 KIKWETE, kINANA NA mANGULA WAKIJADILIANA JAMBO WAKATI WA MAADHIMISHO HAYO
 Kikundi cha TOT kikiongozwa na Kapteni John Komba kikiimba wimbo maalumu wa CCM wa mbele kwa mbele
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Naseeb 'Diamond ' AKIFANYA MAMBO YAKE WAKATI WA MAADHIMISHO HAYO

 Rais Kikwete akijadiliana jambo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye baada ya maadhimisho nhayo kumalizika
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho, Komredi Kinana
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Emmanuel Nchimbi
Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Nape Nnauye

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.