Makonda aapa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam


Paul Makonda akiwa na mkewe, Mary Makonda akisubiri kuapishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Wakuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi na Sophia Mjema wa Temeke, wakiwa pamoja na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova kwenye hafla hiyo.
 Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (kushoto), leo jijini Dar es Salaam. Makonda aliteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, hivi karibuni kuchukua nafasi ya Jordan Rugimbana, aliyehamishiwa Wilaya ya Morogoro Mjini. 
Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (kushoto), leo jijini Dar es Salaam. 
Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda akiweka saini kiapo chake mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (kushoto), leo jijini Dar es Salaam. 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (kulia), akiweka saini kiapo hicho. 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (kulia), akimkabidhi vitendeakazi Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda mara baada ya kumwapsha leo ofisini kwake, Ilala Boma jijini Dar es Salaam.  
Akipewa mau na kukumbatiwa na mkewe, Mary Makonda mara baada ya kuapishwa na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki, leo ofisini kwake, Ilala Boma jijini Dar es Salaam.  
Akipewa mau na Ofisa Habari wa Ofisi ya Mkuu wa Mrofiba Ndandakizye, mara baada ya kuapishwa na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki, leo ofisini kwake, Ilala Boma jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya wageni mbalimbali waliohudhuria kwenye hafla hiyo, wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka kwenye hafla hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akizungumza mara baada ya kumwapisha Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda, akiwa na mkewe, Mary Makonda katika hafla hiyo.
Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda, akizungumza na kutoa shukurani zake kwa Rais Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki. 
 Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda, akipongezwa na Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova.
 Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda, akipongezwa na baadhi ya wananchi waliojitokeza katika hafla hiyo.
Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda, akipiga picha na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki amoja na mkewe Mary Makondabaada ya kuapishwa na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki.
 Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda, akipiga picha pamoja na Mkuu wa Mkoa, Said Sadiki na familia yake mara baada kuapishwa jijini leo.
Baadhi ya wageni waliohudhuria hafla ya kuapishwa Mkuu wa Wilaya mpya wa Kinondoni, Paul Makonda, wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka kwenye hafla hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI