NAPE ATEMBELEA GAZETI LA JAMBO LEO

  Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kushoto) akifafanua jambo alipokuwa akizungumza na Mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited (JCTL), Theophil Makunga (anayecheka) alipotembelea chumba cha habari cha magazeti ya Jambo Leo, StaaSpoti na Jarida la Jambo Brand Tanzania, Dar es Salaam leo.

Nape alizungumzia uhifadhi wa historia ya kuzaliwa kwa TANU, ambapo katika nyumba ya kihistoria ilipozaliwa TANU Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam watajenga jengo la kisasa katika Ofisi ndogo ya CCM ya Makao Makuu, kwa kulijenga pia  upya jengo hilo lenye historia kubwa.

Nape,pia alizungumzia jinsi chama hicho kitakavyoendesha mchakato wa kumpata mgombea urais ndani ya chama hicho kwa kufuata Kanuni, taratibu na Katiba ya chama hicho. atakayekwenda kinyume na mambo hayo hatachaguliwa kuwania nafasi hiyo na asije akalaumu mtu wala chama.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kushoto) akimkabidhi zawadi ya kalenda ya chama hicho, Mmoja wa wakurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited (JCTL), Theophil Makunga alipotembelea chumba cha habari cha magazeti ya Jambo Leo, StaaSpoti na Jarida la Jambo Brand Tanzania Dar es Salaam
 Nape akifafanua jambo wakati wa mazungumzo hayo
 Nape akiwa katika kitengo cha habari mpasukoo (Breaking News) cha kampuni hiyo
 Makunga akimuaga Nape pamoja na ujumbe wake. Kushoto ni Mkuu wa Mawasiliano ya Umma wa CCM, Daniel Chongolo na Katibu wa Ofisi ya Nape, Octavian (kulia0
 Makunga na Nape wakifurahia jambo
Mkurugenzi wa Masoko wa JCTL, Juma Mabakila akichangia hoja wakati wa mazungumzo hayonyuma yake ni baadhi ya wahariri wa Jambo Leo na StaSpoti
Nape na jumbe wake wakiondoka baada ya kutembelea Jambo Leo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.