NEC YAKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KUJADILI MAANDALIZI YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

 Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (kushoto), Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia (kulia) na Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi wakinyoosha mikono kuomba kuchaguliwa kuchangia  hoja wakati wa mkutano wa kujadili uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na maandalizi ya Kura ya Katiba inayopendekezwa. PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye (kushoto) akifurahia jambo na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia (kulia) pamoja na Katibu Mkuu wa Chadema, Willblod Slaa wakati wa mapumziko katika mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Viongozi wa vyama vya siasa wa kujadili maboresho ya uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa, Dar es Salaam
 Sehemu ya wadau wa siasa wakiwa katika mkutano huo.

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu  Damian Lubuva (kushoto), akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja na viongozi wa vyama vya siasa wa kujadili maboresho ya uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa, Dar es Salaam
 Lipumba akisalimiana na Msajiri wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi (katikati) na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
 Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (kushoto), akiteta na Katibu Mkuu wa ACT -Tanzania, Samson Mwigamba wakati wa mapumziko. Viongozi hao waliwahi tibuana na kusababisha Mwigamba kuhamia chama hicho kipya kutoka Chadema
 Msajiri wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi (kushoto) akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Chama cha United Demoratic (UDP), John Cheyo wakati wa mkutano huo.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena Sakaya akichangia hoja wakati wa mkutano huo wa kujadili uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.