NYIMBO YA DIAMOND PLATNUMZ YATESA UFARANSA




Baada ya baadhi ya mitandao   kuandika habari inayohusiana na mafanikio anayoyapata Diamond Platnumz kimuziki baada ya nyimbo yake ya Ntampata Wapi kuchezwa na kituo cha Televisheni cha Ufaransa cha Trace Urban na kufanya vizuri mpaka kufikia kupewa nafasi ya kuchezwa kamaSmash Hit, Diamond alifunguka katika ukurasa wake wa Instagram na kuwashukuru watanzania kwa support wanayompa.


"... Nisingefika hapa bila nguvu na support toka nyumbani... kutoka moyoni kwangu, nawashukuru sana... na aminini kauli yangu, ndio nimeanza... angalieni sinema huu mwaka..." alimalizia Diamond platnumz.
kauli hiyo ilifuatiwa na Comment zaidi ya 450 zikimpongeza na kumsifia.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.